DAWASCO kuunganisha maji kwa wananchi kwa mkopo

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge amewashauri wananchi kuchangia gharama za maji ikiwa ni pamoja na ulipaji wa bili za maji kwa wakati ili waweze kupata huduma endelevu za maji safi na salama nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS