Wabunge wawili CHADEMA wasimamishwa Suzan Lyimo Bunge la Tanzania limeawasimamisha wabunge wawili wa chama cha Demokrasia na maendeleo Suzan Lymo na Anatrophia Theonest kutohudhuria vikao vya bunge visivyozidi vitano kwa kusema uongo bungeni. Read more about Wabunge wawili CHADEMA wasimamishwa