Mtibwa yabariki rasmi Shiza kichuya kutua Simba
Hatimaye baada ya kubana kwa muda mrefu usajili wa mshambuliaji mwenye kasi Shiza Kichuya uongozi wa mabingwa wa zamani wa soka Tanzania bara misimu miwili ya mwaka 1999 na 2000 timu ya Mtibwa ya Morogoro wamemruhusu kinda huyo kutua Simba msimu huu

