Umaarufu wa Masogange umetokana na mimi Msanii wa RnB Abednego Damian ‘Belle 9’, amesema umaarufu wa mkali wa kunogesha video za wasanii, Agnes Gerald ‘Masogange’, umetokana na wimbo wake wa ‘Masogange’. Read more about Umaarufu wa Masogange umetokana na mimi