RITA kuzifutia usajili bodi 500 za udhamiri nchini

Waziri wa Katiba na Sheria nchini Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inatarajia kuzifutia usajili bodi 500 za udhamiri kutokana na bodi hizo kuacha kufanya kazi zake kiufanisi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS