'Wasanii hawana ubunifu wanakiki tu" -Afande Sele

Msanii ambaye pia ni Mfalme wa mashairi hapa Bongo katika muziki wa Hip Hop, Selemani Msindi aka Afande Sele, amesema wasanii wa bongo sasa hivi hawana ubunfu kabisa, na badala yake wanatumia kiki kujitangaza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS