Karate Tanzania kuunda katiba mpya Mwenyekiti wa Chama cha Karate Tanzania, Willy Ringo Baada ya kupata viongozi wapya wa chama cha Karate Tanzania, Baraza la Michezo nchini Tanzania BMT limekiagiza chama hicho kufanya mabadiliko ya katiba. Read more about Karate Tanzania kuunda katiba mpya