Asilimia 48 ya watoto hubakwa,kulawitiwa majumbani
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa asilimia 48 ya watoto wanaolawitia na kubakwa inatokea katika familia na hivyo serikali itawachukulia hatua watu wote ambao watakamatwa kwa makosa hayo.