Ampiga mumewe hadi kufa, kisa wivu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Ahmed Msangi Mwanamke mmoja anashikiliwa polisi kwa tuhuma za mauaji ya mumewe kwa madai ya wivu wa mapenzi wilayani Sengerema, mkoani Mwanza. Read more about Ampiga mumewe hadi kufa, kisa wivu