Barabara nyingi hazipitiki baada ya mvua- Lubeleje

Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa, George Lubeleje CCM ameiambia serikali katika Bunge linaloendelea Dodoma kwamba baada ya mvua kunyesha katika maeneo mengi nchini barabara zimebakia katika hali mbaya na kutopitika na kutaka kauli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS