Majaliwa asisitiza amani ya nchi sikukuu ya Eid Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ameongoza mamia ya waumini wa dini ya kiislamu katika swala ya Eid el Fitri iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam. Read more about Majaliwa asisitiza amani ya nchi sikukuu ya Eid