Mkataba mpya Simba,mpaka nimalize mazungumzo-Mgosi
Mshambiliaji wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi
Mshambiliaji wa Simba Mussa Hassan Mgosi amesema suala la kuongeza mkataba klabu ya Simba ni mpaka pale mazungumzo baina yake na viongozi wa Simba yatakapokwenda sawa.