DAREVA yakomaa tarehe yakuendelea ligi ya Wavu Dar
Baada ya kusimamishwa kwa muda kwa michuano ya ligi ya mpira wa wavu mkoa wa Dar es Salaam ili kupisha baadhi ya vilabu vilivyokuwa na majukumu ya kitaifa sasa michuano hiyo itaendelea kama ilivyotangazwa awali Julai o2 mwaka huu na sivinginevyo