Yanga hatihati kumkosa Tambwe dhidi ya Medeama
Kuelekea katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika, Klabu ya Yanga iko katika hatari ya kuwakosa baadhi ya wachezaji akiwemo mshambuliaji wa kimataifa Amis Tambwe kutokana kutokana na kusumbuliwa na Maralia.

