Nigeria,Falme za kiarabu kushiriki kozi ya TTTA
Shirikisho la mpira wa meza Duniani ITTF kwa kushirikiana na chama cha mchezo huo nchini TTTA wameandaa kozi ya ukocha ngazi daraja la pili itakayofanyika jijini dar es salaam kuanzia Julai 04 mpaka 11 mwaka huu.