CCM kufanya Mkutano Mkuu Julai 23 2016 Chama cha Mapinduzi kinatarajia kufanya mkutano wake mkuu maalumu tarehe 23 Julai mwaka 2016 wenye lengo la kubadilishana kijiti cha nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi. Read more about CCM kufanya Mkutano Mkuu Julai 23 2016