Sekta binafsi yalia na ukosefu wa nguvukazi
Tanzania inakabiliwa na nguvukazi inayohitajika katika uzalishaji, kutokana na elimu inayotolewa na vyuo mbali mbali nchini, kutoendana na mahitaji halisi ya sekta binafsi na hivyo kuwa moja ya changamoto kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati.