Watumishi wanne Mtwara kufikishwa mahakamani Mkuu wa mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendego, ameamuru kukamatwa na kufikishwa mahakamani watumishi wanne wa Idara ya Manunuzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba. Read more about Watumishi wanne Mtwara kufikishwa mahakamani