Klabu ya Yanga Mlinda mlango wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' amesema hawawezi kuidharau timu ya Medeama katika mchezo wao utakaopigwa Jumamosi ya Julai 16 kwa sababu ile ni timu kubwa hivyo watahakikisha wanapambana ili kuweza kuibuka na ushindi. Read more about Klabu ya Yanga