Cleveland Cavaliers yaweka historia mpya NBA
Timu ya Cleveland Cavaliers imekua timu ya kwanza kutwaa ubingwa NBA ikitokea nyuma kwa kipigo cha michezo mitatu kwa mmoja baada ya alfajiri ya leo kuwanyuka waliokua mabingwa watetezi Golden State Warriors vikapu 93-86.