Arsenal kuibomoa Inter Milan,yamtengea dau Murillo Beki wa Inter Milan Jeison Murillo (pichani) anayetajwa kuwaniwa na klabu ya Arsenal. Tetesi za Ulaya zinadai kuwa Arsenal ipo mbioni kutuma ofa kwa klabu ya Inter Milan ili iweze kuinasa saiani ya beki wake wa kati Jeison Murillo. Read more about Arsenal kuibomoa Inter Milan,yamtengea dau Murillo