Jamie Vardy Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City Jamie Vardy anatarajiwa kuanza katika kikosi cha kwanza cha England kitakachoivaa Slovakia kwenye mechi yao ya mwisho ya kundi B ya michuano ya mataifa ya Ulaya inayopigwa nchini Ufaransa. Read more about Jamie Vardy