Polisi Mbeya yaua watuhumiwa wawili wa ujambazi

Watu wawili wanaosadikika kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi, wakati wa majibizano ya kurushiana risasi na polisi walipokuwa kwenye jaribio la uporaji katika eneo la Kigugu, kata ya Makandana wilayani Rungwe, Mkoani Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS