Wadau waja na teknolojia mpya katika usafirishaji
Wadau wa usafirishaji nchini wamebuni teknolojia inayofuatilia mwenendo mzima wa vyombo vya moto yakiwemo magari makubwa na madogo, teknolojia itakayosaidia kupunguza gharama za usafirishaji na kuimarisha usalama wa mizigo inayoingia na kutoka nchini