Yanga watupigie magoti kupata barua ya Kessy -Pope
Klabu ya Simba imesema, hawajahusika na suala la beki Hassan Kessy kushindwa kuichezea klabu yake mpya ya Yanga katika mchezo wa jana dhidi ya Mo Bejaia ya nchini Algeria bali sheria ndizo ziliwabana.