Allardyce ahusishwa kurithi mikoba ya Hodgson Kocha wa klabu ya Sunderland, Sam Allardyce ametajwa kwenye vyombo vya habari mbali mbali nchini Uingereza kuwa kwenye orodha ya makocha wanaoomba kazi ya kuifundisha timu ya Taifa ya nchi hiyo. Read more about Allardyce ahusishwa kurithi mikoba ya Hodgson