Dereva wa City Boy kusomewa shitaka la mauaji
Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani DCP Mohamed Mpinga amesema kutokana na ajali za barabarani kuwa nyingi na madereva kuzidi kuwa wazembe sasa imebidi madereva waliosababisha ajali eneo la Maweni Singida kuomewa shitaka la mauaji bila kukusudia

