Nyamagana ina upungufu wa madawati 1,016

Ikiwa zimebakia siku chache za agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli la halmashauri zote kuhakikisha ifikikapo Juni 30 Halmashauri zote zihakikishe hakuna mwanafunzi anayekaa chini Nyamagana bado ina upungufu wa madawati

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS