Jamali Kisongo amevujisha picha za usajili-Poppe
Usajili wa wachezaji wapya wa klabu ya Simba unaendelea kimya kimya, lakini Wakala mmoja amevujisha picha za mchezaji wake aliyemwaga wino kwa wekundu wa msimbazi, kiasi cha kuwaudhi viongozi wa klabu hiyo.