Mimba za Utoto,uzazi wa mpango changamoto Tabora

Mganga mkuu mkoa wa Tabora Dr.Gunini Kamba akitoa maelezo mafupi kuhusu changamoto za huduma ya afya zinazoukabili mkoa wa Tabora

Mkoa wa Tabora umeripotiwa kuwa na changamoto mbalimbali wa kutozingatia uzazi wa mpango na mimba za utotoni zinazosababishwa na mila na desturi zilizopitwa na wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS