Kuna changamoto nyingi kulinda amani-Mabongo
Majeshi ya Ulinzi wa Amani na Usalama yanayolinda nchi zinazokabiliwa na vita yakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kushambuliwa na vikundi vidogo vya waasi vinavyomiliki silaha kwa ajili ya kufanya mashambulizi.
