Vijijini kupewa kipaumbele ajira za wahudumu afya Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Selemani Jaffo amesema serikali inaendelea na mchakato wa kuajiri wanafunzi ambao wanamaliza katika vyuo mbalimbali vya afya hapa nchini. Read more about Vijijini kupewa kipaumbele ajira za wahudumu afya