Kriketi Tanzania waanza kuisaka michuano ya Afrika
Pamoja na mashindano ya vijana chini ya miaka 19 ya mchezo wa kriketi kwa nchi za Afrika kufanyika mwezi wa tisa mwaka huu nchini Afrika Kusini tayari timu ya kriketi ya Tanzania chini ya umri huo imeanza kambi maalumu ya mazoezi jijini Dar es Salaam