Messi awa mfungaji bora wa muda wote Argentina Rekodi mpya ya mabao imewekwa na Lionel Messi kwa kuwa mfungaji mpya wa mara zote wa Argentina, akivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Gabriel Batistuta. Read more about Messi awa mfungaji bora wa muda wote Argentina