Wabunge mnaotoka nje tokeni muokoe muda Dkt. Tulia Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo amewataka wabunge wa kambi ya upinzani kutoka nje ya bunge haraka kama wanatoka ili shughuli za Bunge ziweze kuendelea kama kawaida. Read more about Wabunge mnaotoka nje tokeni muokoe muda Dkt. Tulia