Chirwa aifuata Yanga Uturuki, kuanza mazoezi leo Obrey Chirwa kulia akiwa na Mkuu wa Kitengo cha habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro uwanja wa Ndege jijini Dar es salaam Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Obrey Chirwa ameelekea nchini Uturuki usiku wa jana kuungana na kikosi cha Yanga kilichoweka kambi nchini Uturuki. Read more about Chirwa aifuata Yanga Uturuki, kuanza mazoezi leo