Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Hii ni taarifa ya serikali kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikifafanua kuhusu ajira, posho na mishahara katika sekta ya afya.