Conte kutambulishwa kwa Waandishi wa habari leo Mkutano na waandishi wa habari, jioni ya leo ndiyo changamoto kubwa ya Antonio Conte, akiwaza jinsi ya kujibu maswali kutoka kwa waandishi hao wa Uingereza wanaojua kumsifia mtu na kumbomoa. Read more about Conte kutambulishwa kwa Waandishi wa habari leo