Serikali kujenga viwanda kumaliza tatizo la ajira

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha viwanda vinajengwa kwa wingi nchini kwani ndiyo msingi imara wa ukuaji wa uchumi na muarobaini wa tatizo la ajira hususan kwa vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS