Halmashauri 'zakabwa koo' michango ya Nanenane
Halmashauri za mikoa inayounda Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, zimetakiwa kukamilisha mchango wa shilingi milioni mbili kila moja kwaajili ya maandalizi ya maonesho ya wakulima ya Nanenane 2016 kabla ya Julai 19.
