Yanga Uturuki tena kwa ajili ya TP Mazembe
Yanga SC imewasili nchini Uturuki kwa kambi ya siku 5 kabla ya kurejea Tanzania kujiandaa na mechi ijayo dhidi ya TP Mazembe ukiwa ni mchezo wa kombe la shirikisho hatua ya 8 bora, Juni 28 jijini Dar es Salaam mwaka huu