Waethiopia kuamua mechi ya Serengeti na Shelisheli
Waamuzi kutoka nchi ya Ethiopia wanatarajiwa kuchezesha mchezo wa awali wa kuwania kushiriki fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana Juni 25 mwaka huu kati ya timu ya Taifa ya taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys dhidi ya Shelisheli.