Roy Hodgson aanza nyodo baada ya kutinga 16 bora Ikiwa imefuzu hatua ya mtoano ya michuano ya mataifa ya Ulaya 2016, kocha wa timu ya Taifa ya Uingereza Roy Hodgson ameanza tambo za kutoogopa yeyote mbele ya safari atakayepangwa naye. Read more about Roy Hodgson aanza nyodo baada ya kutinga 16 bora