DRFA yashangwazwa na uamuzi wa TFF Uchaguzi KIFA
Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kimestushwa na kufadhaishwa na maamuzi yaliyofanywa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kutangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari bila ya kufuata misingi ya Katiba na Kanuni.