Bajeti yapita, mafao ya viongozi wote kukatwa kodi
Dkt Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali za wabunge
Serikali ya Tanzania imepitisha bajeti ya shilingi trilion 29.5 kwa kupigiwa kura huku wabunge wa upinzani wakiwa wametoka nje wakiwa wameziba midomo yao kwa karatasi na plasta.