Waziri Mkuu akabidhiwa maabara ya kwenye sanduku
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhiwa maabara ya kitabibu inayoweza kubebwa kwenye sanduku (Mobile and Compact Portable Clinical Laboratory) ambayo ni rahisi kutumika mahali popote hata kwenye maeneo yasiyo na umeme.
