Victor Wanyama asajiliwa Tottenham Klabu ya Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11. Read more about Victor Wanyama asajiliwa Tottenham