Albino wasiuwawe tena-UN Tanzania /CHRAGG

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania imezitaka jamii hasa familia zenye watu wenye ualbino kuhakikisha kuwa wanashirikim kiikamilifu kuendelea kukemea vitendo vyovyote vinavyoashiria kunyanyaswa kwa watu wenye ualbino nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS