Rodriguez aanza kazi Azam FC kwa ushindi Mhispania Rodriguez ameanza kuleta sumu za tiktak kwenye kikosi cha Azam FC baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza kama kocha, ikipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ashanti FC ya daraja la kwanza. Read more about Rodriguez aanza kazi Azam FC kwa ushindi