Mbunge Anatropia ajitetea kumvua kofia Mbunge CCM
Mbunge wa Viti Maalumu Chadema Anatropia Theonest amejitetea na kukanusha kuhusu tuhuma zilizotolewa na Mbunge wa Ulanga CCM Goodluck Mlinga kwamba amemvua kofia wakati akiwa kwenye kikao cha Bunge leo.